Bunge la Afrika Mashariki linaendelea kujadili bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2016/2017 lakini bunge hilo limepata ugeni kutoka kwa Ngina Kenyatta mama mzazi wa raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mama miria Obote mke wa marehemu mwanzilishi wa jumuiya ya Afrika Mashariki Milton Obote
Bunge liliamua kusimamisha shughuli zake nakuwapa heshima,nmekuwekea hapa picha zote za mapokezi hayo
No comments:
Post a Comment