Hukumu ya kesi ya aliyemtukana raisi Magufuli kwenye ukurasa wa Facebook Isaac Abakuk imetolewa ambapo Mshatikiwa ametakiwa kulipa Milioni 7 au kutumikia kifungo cha miaka 3 gerezani
Mshtakiwa amekiri kutenda kosa hilo ambapo mahakama imeamuru alipe fedha hizo kwa awamu mbili lakini katika awamu yakwanza atalipa tarehe 8 mwezi wa saba shilingi milion 3 na nusupamoja na tarehe 8 mwezi wa 8 atamalizia kiasi cha shilingi Milioni 3 na nusu
No comments:
Post a Comment