Wednesday, July 20, 2016

Bunge la EAC kukaa kwa dharura kuhusu mbunge aliyepigwa risasi burundi

Bunge la Afrika Mashariki kesho linakaa kwa dharura kuhusiana na kifo cha aliyekuwa mbunge wa bunge hilo mheahimiwa Hafsa Mossi aliyeuwawa kwa kupigwa na risasi nchini Burundi

No comments:

Post a Comment