Kwa kipindi cha miezi 8 tangu uchaguzi mkuu,halimashauri ya jiji la Arusha imefanya yafuatayo
1.Kuwa na database ya makusanyo yake ya ndani hadi kwenye ngazi ya kata
2.Mfumo wa makusanyo ni wa electronic hadi kwenye vyoo vya kulipia,risit ya 200 inatoka kwenye kifaa maalu, cha electronic
3.Watumishi wanasaini kufika kazini kwenye mfumo wa electronik hivyo kukuza ufanisi na nidhamu
4.Mashine za electronic kwa ajili ya malipo kwenye ofisi zote za kata,hivyo kusogeza huduma kwa umma
Kazi ambazo zimefanyika Arusha tangu CHADEMA ichukue halimashauri
1.Barabara ya Uswahili-Dampo Kiwango cha Lami
2.Ujenzi wa madarasa 49 ya shule za sekondari gharama ya 1.6 bil madarasa haya ya kisasa pamoja na madawati yake ya kisasa bila kuchangisha wananchi
3.Municipal bonds hii ni jambo jipya kwenye halimashauri zetu nchini,na limeasisiwa hapa Arusha ambapo Meya wa Arusha alikutana na Waziri wa Tamisemi,TIB wamekubali wazo hilo la municipal bonds ambazo zitatumika kuhatakisha miradi ya maendeleo,na kufanya Jiji kujitegemea
4.Ujenzi wa matundu ya vyoo 300 kwenye shule za msingi hivyo kuondokana kabisa na tatizo la vyoo kwenye shule zote za Jiji
5.Timu ya mpira ya jiji.Tumejiwekea malengo ya kununua timu ya mpira ya jiji itakayoshiriki ligi kuu ya Vodacom,
6.Ujenzi wa barabara ya soko la Shuma 660mil kiwango cha Lami
7.Ujenzi wa barabara ya Kaloleni 780mil(Kazi inaendelea kiwango cha lami)
8.Uanzishwaji wa mji wa kisasa wa Bondeni city
No comments:
Post a Comment