habari za kifo cha ghafla cha Hafsa Mossi aliyekuwa Waziri wa Afrika Mashariki kutoka Burundi.
Hafsa pia ni mwandishi mwenzetu, na mara nyingi alikuwa hapa Arusha kipindi cha Bunge la Afrika Mashariki.
Ameuawa kwa kupigwa risasi jijini Bujumbura Jumatano hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment