Monday, September 12, 2016

Arusha kutofanya vizuri kwenye soka yadaiwa nikuendekeza starehe



Jana ilikuwa ni michuano mbalimbali ya soka iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa michezo ikiwemo waandishi wa habari kutoka sehemu mbalimbali Tanzania lakini chakushangaza timu za Dar ndio zilizoshinda katika vipengele mbalimbali Meya wa jiji la Arusha kalist Lazaro wakati akihitimisha michuano hiyo alisema ni bora kukutana na wadau wa michezo ili kubaini ni tatizo gani linalokwamisha soka hasa kwa mkoa wa Arusha,Lakini

kwa upande wa katibu wa chama hicho cha waandishi Musa Juma amesema katika michuano mbalimbalo ambayo imekuwa ikifanyika timu nyingi za Arusha zimekuwa zikiangukia pua hivyo ni wakati sasa kujipanga.
Nimekuwekea hapa matokeo ya mechi yalivyokuwa

 Musa Juma: Timu zilikuwa 5      Taswa Dsm,Wazee klabu,Sunrise na chuo cha uandishi Arush(AJTC).                                Netball;AJTC na Taswa qeen.  Katika soka mshindi taswa dar michezo ilikuwa ya ligi wa pili wazee klabu tatu Ajtc nne sunrise netball msingi taswa qeen
Musa Juma: Zawadi. 1. Kikombe na fedha taslimu 100.000 wa pili 100000 na wa tatu 50000

No comments:

Post a Comment