Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabrieli Daqarro amefanya ziara katika kiwanda cha kinachojishughulisha na utengenezaji wa pombe aina Medo kilichopo kata ya sombetini nakuagiza watendaji wa serikali kufanya ukaguzi wa maeneo yao nakufanyia kaz changamoto zilizopo
Akiwa ameambatana na mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia amewaagiza viongozi hao kuacha kufanya kazi kwa mazoea nakutekeleza majuku yao
Hata hivyo amemtaka mmiliki wa kiwanda hicho Mhalo Martini kutekeleza maagizo aliyopewa na mkuu huyo ikiwemo kuboresha mazingira ya utengenezaji wa pombe hiyo katika kiwanda hicho
Hapa nimekuwekea picha za mkuu wa wilaya hapo juu aliyevaa suti nyeusi akiwa na mkurugenzi aliyevaa suti nyeupe wakati wa ukaguzi wa kiwanda hicho
No comments:
Post a Comment