UPDATES:Mahakama kuu kanda ya Arusha imetupa rufaa yakupinga maamuzi yakumnyima dhamana iliyoamuliwa na mahakama ya hakimu mkazi dhidi ya mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema
Naibu msajili wa mahakama kuu kanda ya Arusha Anjelo Rumisha amesema kwamba rufaa hiyo ilikuwa imekatwa nje muda uliopangwa
Wakili wa Chadema John Malya wamesema wameongea na mteja wao nakuwaambia wasishughulike tena na kesi hiyo hadi pale jamhuri itakapoamua lakini wao watendelea kukutana na jopo la mawakili iki kuja na njia mbadala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment