Kutokana na ishu za watu binafsi kuchapisha vitabu tofauti sasa leo Waziri mkuu Kasim Majaliwa ameagiza taasisi ya elimu kuchapisha kitabu kimoja kwa somo moja kifundishe kwenye shule nchi nzima badala yakuchapisha vitabu tofauti kwa watu binafsi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment