Wednesday, December 21, 2016

Mkuu wa wilaa aamuru mwandishi wa ITV awekwe ndani

BREAKING NEWS:Mkuu wa wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti ameamuru jeshi la polisi kumweka rumande  mwandishi wa ITV Arusha Halfah Lihundi nakutoa maelezo kwa madai yakuandika habari za uvunjifu wa amani kwa wananchi

No comments:

Post a Comment