Zaidi ya maduka 5 ikiwemo supermarket ya mianzini yameungua kutokana nakudaiwa ni shoti ya umeme,askari wa zimamoto wanaendelea na kuzima moto taarifa zaidi nitaendelea kukupatia kwa jinsi nitakavyozipata
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment