Thursday, January 5, 2017

Bilioni 4 zimekusanywa kwa makosa ya barabarani

UPDATE:Kama ulikamatwa na  Jeshi la polisi Arusha kwa makosa ya usalama barabarani  ujue limekusanya  zaidi ya Bilioni 4 milioni mia saba na nane kwa mwaka 2016.Charles mkumbo kamanda wa polisi Arusha

No comments:

Post a Comment