Friday, February 3, 2017

Orodha ya wasanii wengine waliotajwa na makonda kujisalimisha polisi

;Mkuu wa mko wa Dar es salam  amewaongeza kwenye list Msanii Vanessa Mdee pamoja na Dancer anayeitwa Tunda mpenzi wa Young D kwenye orodha ya wanaotakiwa kuhojiwa Jumatatu,yupo  pia askari ambaye amejipatia zaidi ya Billion 1 zauuzaji wa madawa ya kulevya

No comments:

Post a Comment