Monday, March 13, 2017

Alichokifanya RC Makonda leo Dar es Salaam

RC MAKONDA AZINDUA BARABARA LEO

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amezindua barabara ya shimo la udongo,Kilwa EPZ iliyojengwa kwa zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech na kugharimu mil.350.

No comments:

Post a Comment