Tuesday, March 5, 2013

ROMA APATA AJALI YA GARI AKIELEKEA MOROGORO




Msanii wa kizazi kipya anayefanya bongo hip hop ROMA, amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro akielekea kwenye show yake mchana huu. Roma anasema alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndipo tairi la mbele la gari lake lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari lake dogo alilokuwa akiliendesha kurudi lilipotokea.

Roma amesema  kwa sasa anaelekea Hospital kwa "check up zaidi" ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima.


Sehemu ya mbele la gari

Kioo cha Gari baada ya ajali

Gari baada ya ajali

No comments:

Post a Comment