BEN PO |
Leo msanii ben Po ameachia studio tears ya ngoma yake mpya ambayo inafuata inayokwenda kwa jina la Jikubali ngoma ambayo pia ameitaja kuwa inatoka tarehe 30 mwezi huu yaani mkesha wa Kuamkia may mosi basi katika ngoma hiyo na studio tears aliyoiachia inaskika akiimba nampenda
lady jay Dee wakati tayari wako kwenye beef kitu ambacho amefunguka na kusema kuwa yeye aliurecord wimbo huo kabla hawajaingia kwenye malumbano na JD ila ameona haina haja ya kuuedit wimbo huo kwani kiukweli anampenda Jd na kufunguka kuwa yeye hawezi kuwa na beef na JD kwani Jide ni msanii mkubwa sana na yeye pia anatamani kukubalika kama JD.
JD |
BEN PO amefunguka na kusema kuwa walitofautiana tu kauli ila sio kwamba yeye alichukulia kama beef..
Kinachofanya niamini kuwa wimbo ndo umemaliza beef ni kutokana na hiki walichokiandika kwenye account zao za twitter na aliyeanza ni JD
JD ALITWEET:--- "Wooh!! @IamBenPol So nimeskia umeimba unampenda Lady Jaydee !! Kula 5 kwanza mengine yatafuata baadae " ...
Ben Pol nae akajibu, "Yeeaaah!! nakupa then inakuwa #Celebratiiiooons" ...
CHANZO DJ HAZUU
No comments:
Post a Comment