Baadhi ya wanachama wa JBC ambao ni waandishi wa habari wakipata chukula katika hafla hiyo ya chakula mchana |
Waandishi wa habari na wanachama wa JBC wakipata chakula cha mchana katika ukumbiwa JBC |
Baadhi ya wandishi wa habari wakipata chakula cha mchana katika hafla hiyo |
Kaimu mkurugenzi wa mafunzo chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC akishiriki chakula katika hafla hiyo kushoto ni moja ya wakufunzi wa chuo hicho Bw Christian Ndege |
Mkurugenzi wa Fraja Fm shinyanga akizungumza wakati wa hafla hiyo ya chakula cha mchana |
Mwenyekiti wa Club ya JBC Mchungaji Mathayo Saruma akiwasalimia wanachama wa JBC |
Mkufunzi na moja ya waanzilishi wa club hiyo Bi Verediana Akonai(aliesimama) akizungumza na wanachama wa JBC picha ndogo chini ni baadhi ya wanachama wa JBC wakimsiliza kwa makini Bi Verediana |
Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo AJTC Bw Hadson Kagiye akizungumza na wanachama pamoja na washiriki katika Hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na club hiyo |
Baadhi ya wakufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC wakimsikiliza kaimu mkurugenzi Katika hafla hiyo. |
Baadhi ya Viongozi wa Club Hiyo Calvin (kulia)na Josephine (kushoto) wakiteta jambo katika hafla hiyo.PICHA NA INFO IS HOT |
OYYYYYYYYYOOOOO NI NOMA NIMEPENDA HAYO MA MSOSI BHANA I REALY LIKE IT
ReplyDelete