Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wakitoa heshima zao za mwisho kwa
mwanafunzi mwenzao Elly Kago aliyefariki baada kuchomwa kisu,ibada ya
kuaga mwili huo ilifanyika katika Hospitali ya Mount Meru.Mwili huo
umesafirishwa kwenda Mkoani Iringa kwa ajili ya Mazishi.
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwanafunzi mwenzao Elly Kago aliyefariki baada kuchomwa kisu,ibada ya kuaga mwili huo ilifanyika katika Hospitali ya Mount Meru.Mwili huo umesafirishwa kwenda Mkoani Iringa kwa ajili ya Mazishi.
No comments:
Post a Comment