AMSHAAMSHA ZA UCHAGUZI: SAFARI YA MATUMAINI YA EDWARD LOWASA KUANZA RASMI JUMAMOSI HII....MAKONGORO NYERERE NAYE KUTANGAZA NIA BUTIAMA
Safari Ya Matumaini ya Edward Lowassa Itaanza Rasmi Jumamosi Hii Jijini Arusha......Watanzania Wote Mnakaribishwa.
Tarehe: 30.05.2015
Mahali: Uwanja wa Sheikh Amri Abeid- Arusha
Muda: Kuanzia Saa 8 Mchana hadi saa 11 Jion
Urais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama
Mpekuzi blog
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark Mwandosya ambaye naye anatarajia kutangaza nia siku ya jumatatu huku waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa akitangaza kutangaza nia siku ya jumamosi ambayo ni mei 30 mkoani Arusha.

No comments:
Post a Comment