Saturday, June 13, 2015

Ali kiba aongoza KTMA apata tuzo tano amshinda mpinzani wake Diamond tazama hapa

yaah zile tuzo za KTMA 2015 zaendelea kumiminwa ndan ya dimbwi la mlimanim city DSM , kundi bora la bongo fleva YAMOTO BAND; nyimbo bora ya mwaka yakushirikishwa MWANA FA MFAUME, mtunzi wa Hip Hop mwaka JOH MAKINI,

produza wa mwaka NAHREEL,kikudi cha mwaka taarabu JAHAZI; video ya mwaka MDOGMDOGO DIAMOND,wimbo wa mwaka wa afro pop ALI KIBA MWANA,
wimbo bora wa mwaka wenye vionjo vya kitanzania MRISHO MPOTO, WAITE, msanii bora chipukizi wa mwaka ni BARAKA DA PRICE, wimbo bora wa zouk au rhumba ni DIAMOND tampta wap;

 msanii bora wa hip hop ni JOH MAKIN,msanii bora wa afrika mashariki ni SAUTI SOLO,wimbo bora wa reggae MAUA SAMA, wimbo bora wa hip hop KIPI SIJASIKIA PROF J 

, wimbo wa mwaka R$B jux SISIKII, wimbo wa kiswahili wa mwaka bend ni WALE WALE VIJANA NGWASUMA,wimbo bora wa mwaka ni mwana ALY KIBA , wimbo bora wa tarb ni mapenzi hayana dhamana ya AISHA MASHAUZ, mwimbaji bora wakiume bend-JOSE MARA,

mwimbaji bora wa kike taarab ni ISHA MASHAUZ,mwimbaji bora wa kiume taarab ni mzee yusuph,mwimbaji bora wa kike bongo fleva ni VANESSA MDEE,mwimbaji bora wakiume bongo fleva ni ALLY KIBA, mtumbuizaji bora wa muzik wa kike VANNESA MDEE, mtumbuizaji bora wa muziki wa kiume ni ALLY KIBA

No comments:

Post a Comment