Rais Magufuli kamtembelea hospitali waziri mkuu mstaafu bila taarifa muhimbili
Hii haikuwa ziara ya ghafla, ilikuwa msafara wa Rais magufuli katika hospitali ya Muhimbili kwenda kumjulia hali mzee Sumaye japokuwa hata yeye mwenyewe hakuwa na taarifa ya ujio wa ugeni wa Rais
No comments:
Post a Comment