Thursday, March 9, 2017

Mkuu wa wilaya alivyozungumzia suala la matumizi ya simu kazini


Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Fabian Daqarro amepiga marufuku vitendo vya watumishi wa serikali ambao huwa wanatumia simu wakati ambao wananchi wamekwenda kuhitaji huduma mbalimbali ikiwemo kero zao

Hata hivyo Daqarro amepiga marufuku vitendo vya waalimu kuwachangishwa fedha za shule wazazi  bila kibali cha mkuu wa mkoa  na kama waraka wa elimu unavyosema juu ya elimu

ZIARA KATA YA ENGUTOTO#BLOCK1

No comments:

Post a Comment